Lyrics
Utukufu kwa Mungu mbinguni
na amani duniani
kwa watu wenye mapenzi mema.
Utukufu kwa Mungu Heshima Kwake Baba,
tunakuabudu twakutukuza ee Baba.
Shukrani kwake Mungu Ni Mfalme wa mbinguni,
Mwana wa Pekee, Mwana wa Mungu Baba.
Mwenye kuziondoa ondoa dhambi zetu,
Ewe tuhurumie, Mwana Kondoo wa Mungu.
Ewe Unayeketi, kuume kwake Baba,
Wewe Ndiwe Uliye Peke Mtakatifu.
Ewe Uliye Bwana, Uliye Bwana Mkuu,
Mkombozi wa dunia Peke yako Kristu.
Kwa Utawala Wako, na Roho Mtakatifu
pamoja na Mungu Baba 'tukufu ni Wako milele.
Spotted a wrong word or a missing verse? Make corrections
Sheet music
Open full screenIf the score does not display on your phone, use View sheet music to open it in your PDF reader.
Listen to this song
This song cannot be played here yet: the sheet music is a picture of the score, and a playable copy has to be prepared and checked by a musician. Ask for it and we will prepare the most requested songs first.
Composers and typesetters: if you have this song in MuseScore, Sibelius, Finale or capella, send us the notation file and it can be playable within days.
This piece is part of Holy Family Basilica Nairobi Mass, where the complete score is.