KENGELE ZASIKIKA

  1. Kengele zasikika mbinguni zinalia Kazaliwa masiha mkombozi wa dunia

 

Glooooooooooria Hossana in excelsis.

 

  1. Makanisani kote kengele zinalia furaha duniani mkombozi kazaliwa

 

  1. Watu wote furahi, masiha kazaliwa Mjini betlehemu masiha kazaliwa

 

 

  1. Mtukufu mbinguni Amani Duniani Alelu…ya Tuimbe kwa furaha

 

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *