ATUKUZWE MUNGU

Atukuzwe Mungu wetu pote daima, na milele

1.    Ee Yesu mwema uliyeshuka kwetu,
Ndiwe uliye mwana wake Mungu wetu,
Twakuabudu daima.

2.    Ee Yesu mwema ndani ya Ekaristi,
Utulishe kwa mwili wako mtakatifu,
Chakula bora daima.

3.    Ee Yesu mwema uliye na upendo,
Tupe nguvu tushike amri yako kubwa,
Ya kupendana daima.

4.    Ee Yesu mwema utubariki sote,
Mwisho utuongoze kwa Bwana mbiguni,
Tuishi nawe daima.

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *