HII NI EKARISTI

 1. Hii ni Ekaristi, aliyotuachia

Bwana Yesu Kristu Kristu Mkombozi wa dunia

      Chorus
Imbeni – Imbeni kwa furaha
Sifuni – Sifuni ekaristi (alimo)
Alimo Yesu Kristu (Kristu) alimo ni mzima.

 1. Yesu katuonea, wema wake huruma
  Alitupenda sana (sana) akatupa uzima
 2. Jioni Alhamisi, alichukua mkate
  Kaugeza mwili (mwili) kuleni mkaokoke
 3. Pia alichukua, kikombe cha divai
  Kakigeuza damu (damu) kunyweni kaokoke
 4. Walipokwisha kula, kawaosha miguu
  Nimewapa mfano (fano) fanyeni nanyi vile
 5. Yesu mwili na damu, chakula cha uzima
  Tujaliwe kupata (pata) uzima wa milele.
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download [20.92 KB]

 

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *