HII NI KARAMU

Wote:
Hii ni karamu, uzima wa Roho,
Yumo Bwana Yesu, kwa mwili wake kweli, na damu yake.

1.    Alisema Bwana; twaeni wote, mule, ni mwili wangu.
2.    Alisema Bwana: twaeni wote, munywe, ni damu yangu.
3.    Nasi twasadiki ni mwili wake kweli na damu yake.
4.    Alituamuru kufanya hivyo kwa ukumbusho wake.
5.    Tukifanya hivyo tunatangaza kifo cha Bwana wetu.
6.    Kwa hii karamu twashiriki uzima wa Bwana wetu.
7.    Huu ni upendo aliotuachia, mkombozi wetu.
8.    Hapa dunia twaishi na Baba kwa karamu hii.
9.    Na huko mbiguni tutaishi na Baba milele yote.

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *