KARIBU YESU

Karibu Yesu mwoyoni mwangu x2

1.    Niwewe pekee Kipenzi changu
Nionyeshi Yesu upendo huo wako.

2.    Niponye Baba magonjwa ya Roho
Magonjwa ya akili na magonjwa ya mwili.

3.    Niponye Yesu niponye we kipenzi
Sina mwengine wa kumwendea.

4.    Unanijua Yesu unyonge wangu
Bila wewe muweza siweza chochone.

5.    Karibu Baba Karibu dakitari
Karibu Mshinda Karibu Mwoyoni.

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *