NDIWE CHEM CHEM

Ndiwe chem chem, ya uzima
Niwe peke yako Bwana
Niongoze baharini, Niwe wako daima (x2)

1.    Bwana, unaneema nyingi
Ya ondoa kila dhambi (x2)

2.    Bwana Yesu niongoze,
Ni dumu katika neema (x2)

3.    Tuta mwimbia pamoja
Tumsifu mungu juu (x2)

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *