SIMAMA, SIMAMA IMARA

K;      Simama
W;      Simama imara, jilinde,neon lake Bwana imara,
Kasha kila siku, jombe, utasimama x2

1.    Milima yote na mabonde itayeyuka
Neno lake Bwana imara, litasimama.

2.    Mapendo ya munu tumejaa, Roho kweli
Imara yetu ndaniyake, awe muhuri.

3.    Siku za huduma ni chache, tuwe mashujaa,
Roho wa Yesu akaa nasi mpaka hatima.

4.    Katika yote tutashinda kwa nguvu yake,
Nani aweza kututenga na pendo lake?

5.    Heri ashikaye maneno ya mungu mwana,
Naam naja upesi, amiina. Njoo, Yesu Bwana!

6.    Afikapo Bwana harusi, tayarisha taa,
Nenda kumlaki kwa furaha, naye ingia.

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *