TUMUTUMIKIE MUNGU
1. Bass: Tumutumikie mungu
All: Aliyo tupenda sana
Baba mungu tamusana
Kwa mapendo yake x2
Bass: Wa ndugu nyinyi
Muache dhambi
All: Tuleta kwa mungu
(wandugu) kazi zetu
Za mkono natuleta
Kwa mungu x2
2. Bass: Alleluia alleluia
All ; Alleluia alleluia
Baba mungu tamusana
Kwa mapendo yakex2
3. Bass : Tikimbukie uli mbele
All ; Ali sema kondoo
Baba mungu tamusana
Kwa mapendo yakex2
0 Comments