NA TUFANYE SHANGWE

1.    Njoni wapenzi tufanye shangwe
Mwokozi Bwana Amefufuka
Viumbe vyote tufanye shangwe         ,,
Natufanye shangwe Twimbe Alleluia    ,,
2.    Hakika mbigu za duniani        ,,
Naye Dunia na duniani         ,,
3.    Juu mbiguni na duniani        ,,
Viumbe vyote vinafurahi        ,,
4.    Hii ni siku aliyofanya            ,,
Tufurahie, tushangilie            ,,
5.    Tufanye shangwe kwa nyimbo nzuri    ,,
Tumsifu Bwana wa vitu vyote         ,,

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *