HODI HODI

Chorus: Hodi hodi nyumbani mwake Bwana,
Ninabisha nifungulie
Nimekuja nyumbani mwako leo,
Nimekuja kukuabudu
Kwa unyenyekevu nayongea
Meza yako yenye baraka
Nakuja na sala zangu ee Bwana
Nakuomba sizikilize
Ninakutolea sadaka yangu
Mungu Baba Unipokea

1.    Njua za Bwana zapendeza zinapendeza maacho kama nini (natamani kuingia hekaluni nikamwabudu) x2

2.    Nimeingia hekaluni nimeingia hekaluni mwako (Nimekuja kuabudu kusujudu nyumbani mwako) x2

3.    Unipokee Mungu Baba unitakaze mimi mwenye dhambi, (nimekuja kuabudu kusujudu nyumbani mwake) x2

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *