Hodi hodi nyumbani mwako bwana ninabisha nifungulie
Nimekuja nyumbani mwako leo, nimekuja kukua budu
Kwa unyenyekevu naijongea, meza yako yenye Baraka
Nakuja na sala zangu e bwana, nakuomba zisikilize
Ninakutolea sadaka yangu mungu baba uipokee.
- Ninachongoja za pendeza zinz pendeza macho kama nini
Natamani kuingia hekaluni nikamua budu
- Nimeingia hekaluni nimeingia hekaluni mwako
Nimekuja kua budu kusijudu nyumbani mwako.
- Unipokee mungu wangu unitakaze mimi mwenye dhambi
Nimekuja mbele zako mungu baba unipokee