NJONI TUIMBE Harmony by: Augustine ZM

Chorus:

 

Njoni tuimbe tucheze, njoni tufurahi mbele zake bwana, piga makofi piga vigellegele, shangailieni bwana leo asubuhi x2

 

Verses:

Gents:

  1. Sauti ya kwanza semeni allellua, sauti ya pili tumusifu Yesu Kristu,

Ladies:

Sauti ya tat una llleya ine, waseme pamoja, milele Amiina Njoni

 

Gents:

  1. Wamaama pigeni vigelegele, wa baaba wote vinanda vipi gwe saana,

Ladies:

Pige ni fillimbi, ngoma na kayamba, Watoto, wadogo, wachanga mkeni njoni

 

Gents:

  1. Mataifa yote njoni mbeleza bwana, makabila yote simameni tuimbe,

Ladies:

Nyanyu keni wote, pigeni makofi, shangwe na nderembo, vifijo michezo, njoni

 

Gents:

  1. Bahari vitu vyote, vifi chavyo, milima na miti, yote shangilieni,

Ladies:

Ndege wa angani, warukeruke, Wanyama bondeni, furahi ni saana njoni

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download [108.12 KB]

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *