NJONI TUMWIMBIE

CHORUS 1:
Njoni tumwimbie naku mshangilia
Njoni tumwabudu bwana *2
1.    Njoni tujongee njoni kwa masifu
Njoni tumwabudu bwana.

2.    Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu
Njoni tumwabudu bwana

3.    Yeye ndiye bwana, yeye mungu mkuu
Njoni tumwabudu bwana.

CHORUS 2:
Mfanyieni shangwe dunia yote
Na mtumikieni kwa furaha.
4.    Njoni mbele za bwana……kwa kuyimba
Jueni kwamba yeye………ndiye mungu.

5.    Alituumba tuko……………..watu wake.
Sisi kondoo wa………………mali shoye.

6.    Piteni mlangoni…………..kwa shukrani
Daima himidini…………..…jina lake.

Comments

0 Comments

Login

Welcome! Login in to your account

Remember me Lost your password?

Lost Password