THE HOLY FAMILY MASS (Gloria:) Tony Muyingo

Utukufu kwa mungu mbinguni na Amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema

1. Utukufu kwa mungu heshima kwake baba, tunakua budu twakutukuza e baba

2. Shukrani kwake mungu ni mfalme wa mbinguni, mwana wa pekee mwana wa mungu baba.

3. Mwenyezi ondoa ondoa dhambi zetu, ewe tuhurumie mwana kondoo wa mungu

4. Ewe unayeketi kuume kwake kwake baba, wewe ndiwe uliye pekee mtakatifu.

5. Ewe uliye bwana uliye bwana mkuu, mkombozi wa dunia pekee yako kristu.

6. Kwa utawala kwako na roho mtakatifu, pamoja na mungu baba tukufu ni wako milele.

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *