Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu bwana mungu
Mtakatifu mtakatifu mtakatifu bwana mungu wa jeshi.
Mbingu na dunia zimejaa, mbingu na dunia zimejaa kweli zimejaa utukufu wako kweli zimejaa utukufu wako.
Hosanna hosanna hosanna juu mbingunix2
(hmm) Mbarikiwa Anayekuja kwa jina lake lake bwana (hmmm) Mbarikiwa anayekuja kwa jina lake lake bwana