Bwana Yesu mtoto kazaliwa amekuja kutuokowa.
Tuna kushukuruee! Ee Baba Mungu ee! Kwahuruma yako, ee! na upendo wako oo! Mama Maria ee! Tunakupongeza kwa kutuzalia ee! Mwokozi wetu oo!
Mama Maria ee! Tunakupongesa kwakutuzlia ee! Mwokozi wetu oo!
Mama Maria ee! Asante kwa kutuzalia ee! Mwokozi wetu.
- Mama Maria umejaa nenma, umebarikiwa kuliko watu wote; na mzao wat umbo lako amebarikiwa asante kwako Baba Mungu kwa mema yako uliotujalia asante kwako Baba mungu kwa mema yako uliotujalia.
- Enyi binadamu ni habari njema yakuzaliwa kwake mtoto Yesu, yeye hi kweli mwana wa mungu amekuja kutuokoa tuwena uzima wa milele milele amekuja kutuokoa tuwena uzima wa milele.
- Sifa kwakw mungu Baba yetu sifakwake Yesu Bwana wetu, sifa kwake Mungu Roho Mtakatifu, Asante utatau Mtakatifu Mtakatifu Daima na milele na milele Asante utatu Mtakatifu mtakatifu diam ana milele.