TUNAKUSHUKURU MAMA MARIA

Kwanema unazo tujalia
Asante mama wa Yezu
Uliye na huruma
Uzidi kutuombea mpaka
Saa ya kufa.
1.    Mama wa Yezu, mama mfariki wetu
Asante sana kwa kutusimamia

2.    Nema zako zinatutia nguvu
Asante mama Maria mtakatifu

3.    Tunafutaha, tunamatumaini,
Kwakuatunawe Mama mtakatifu.

4.    Mama wa Yesu ewe mama Maria
Tusaide tushinde vishsawishi.

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *