Ee Baba twaleta zawadi zetu,
Ee Baba twaomba uzipokee x2
Japoni kidogo sana, ewe Baba
Twakusihi sana, Baba uzipokee x2
1. Mkate na divai ewe Baba
Twaomba uzipokee x2
2. Na pia nafsi zetu ewe Baba
Twaomba uzipokee x2
3. Nahizi fedha zetu ewe Baba
Twaomba uzipokee x2
4. Nahizi sala zetu ewe Baba
Twaomba uzipokee x2