UTUKUZWE

1.    Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe.
Alleluia-a
Kwani Yesu mfufuka ametualika
Alleluia-a.
Utukuzwe……………………Utukuzwe
Baba Mungu ulimwengu….Alleluia-a x2

2.    Tumepokea mkate mazao ya mashamba.
Ndio uwe kwetu ya wema wako mkuu.

3.    Nitunda la bidi ya mkono na ya mwoyo
Jalie uwe kwetu chakula cha uzima

4.    Zawadi ya divai kutoka mizabibu
Ndio alama kwetu chakula cha uzima

5.    Nitunda la bidi ya mkono na ya mwoyo
Jalie uwe kwetu chinywaji kyake roho

6.    Sifa kwako ee Mungu kwakuotesha mkate
Shukrani kwako Baba kwa kutulisha sisi

7.    Utukuzwe ee Mungu ulie tuchagua
Tuwe taifa lako na kukutumikia

8.    Kwa pendo na fadhali umetufurahisha
Ukatufukisha kwa sherehe yetu leo

9.    Siku ya leo kwa heshima na sifa
Na utukufu wako na milele yote

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *