Baba Alinituma

Lyrics

1

Baba alinituma duniani , niwarudishe walio poteya. Niwaoneshe njia nzuri, njia yakwenda kule kwa Baba x2

Sisi sisi: Tutumikie roho zetu
hapa duniani
Sisi sisi: Na roho za wandugu
zetu walippoteya
Baba! Baba ataniuliza nilifanya
nini
Ndugu! Ndugu zako wako wapi
ee mwanangu.

Kazi gain unayo ndugu, tembeleya
waliopoteya. Uwaoneshe njia nzuri, njia yakwenda kule kwa Baba.

Spotted a wrong word or a missing verse? Make corrections