Lyrics
Chorus
Bass: Jongeyeni, kwa meza yake
bwana x2
Chorus
All: Jongeyeni wote kwa meza x 2
ya bwana Joo-ngeyeni.
1
Bwana Yesu pale mezani, akwatwaa mukatee, ―Akawapa
wamitume akisema huu nimwili wangu kueni‖ x2
2
Bwana Yesu pale mezani, akwatwaa kikombe, ―Akawapa
wamitume akisema hii ni damu yangu kunyweni.‖ X2
Spotted a wrong word or a missing verse? Make corrections