Mungu Baba

Lyrics

1

Mungu Baba alisema na
Abramu kwaomba Baba, ujitakase.Amecukuwa mwana yake
ayo Isaako aende kwa sadaka.

Chorus

Abramu x3

Chorus

Bass: Nimeona imani yake x2

Chorus

All: Mchinge kondoo
Nimeona imani yake
Acha mtoto

2

Abramu akachinjanga kuni
yake, ata mtwisha mwana
Isaako. Aka yende mpaka loschi inayo itwa Moria kwa sadaka.

Spotted a wrong word or a missing verse? Make corrections