1. Hakuna Mungu kama wewe x3
Ewe Mungu wangu.
Nasema asante x3
Ewe Mungu wangu.
2. Hakuna upendo kama wako x3
Ewe Mungu wangu.
3. Hakuna nguvu kama zako x3
Ewe Mungu wangu.
4. Hakuna Neema kama zako x3
Ewe Mungu wangu.
5. Wewe ni alfa na omega x3
Ewe Mungu wangu.