NAJA KWAKO BWANA UNIPOKEE

Chorus:

 

Naja kwako bwana unipokee, mtumi shi wako x2

Kuijongea altare ya bwana, Ee Bwana, unipokee.

Kukutolea sadaka ya misa, Ee Bwana, unipokee.

Kati ya malango yako Bwana napita, niwekee mkono wako nibariki

 

Verses:

 

  1. Nina kuja kwako kukusujudia; kukutolea shukrani, sala na maombi yangu
  2. Nitakusujudu Ee Mungu wangu; Nifanye toba ya kweli, katika hii nyumba takatifu.
  3. Nitakkuimbia nyimbo nzuri; Nyimbo nzuri za shangwe kukuabudu Ee Bwana Mungu
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download [19.47 KB]

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *