KARAMUNI KWA MARINGO By Benard Mukasa

 

Wa umi nisima me nipole pole kwa maringo jonge e nikara munimpate ku mwo nja mwokozi Yesu wakozi Yesu.

  1. Yu mo hu mumwo kozi Yesu kwenye mzabibu nanga nota mu nimpo leni

mwe mani uzima

  1. Ekaristi, ni jina lake, pamoja nasi, Mungu mwenyewe, ndani yetu nasi ndani yake.
  2. Alitoa, jioni ile, kwa kumbukumbu, yake milele, tule tunywe wote tuokoke.
  3. Tugeuze, maisha yetu, yakafanane, na meza hii, huruma upendo msamaha.

 

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *