MIMINA Neema by Bernanrd Mukasa

 1. Mimina, kama vile zilivyojaa juu,
  Mimina ziteremshe tuzipokee, Bwana

Chorus

Mimina neema zako, mimina, kati yetu,
Mimina neema tele, mimina, Mungu wetu,
Mimina leo neema nyingi mimina, tufurahi
Mimina, Bwana mimina,
leo mimina ee Bwana mimina.
Mimina neema zako, mimina, kati yetu,
Mimina neema tele, mimina, Mungu wetu,
Mimina leo neema nyingi mimina, tufurahi
Mimina, Bwana mimina,
leo mimina neema mimina

 

 1. Mimina, ulivyomimina kwa Abrahamu,
  Mimina, uwamiminiavyo wamchao, Bwana

 

 1. Mimina, tujae nguvu za kukutukuza,
  Mimina, tukazieneze sifa zako, BwanaTwakuinulia mikono, huko uliko juu,
  Ttazama wana wako, tunaomba neema)
  Mimina neema mimina (Bwana Mungu),
  Mimina neema mimina,
  Tunaomba Bwana ( ewe Mungu) mimina,
  mimina neema mimina;
  Mimina kwa wote tulioko hapa tujaze neema mimina,
  Mimina hata kwa walioko mbali
  peleka neema mimina,
  Mimina usiku mimina mchana
  mimina neema mimina,
  Mimina masika mpaka kiangazi
  daima neema mimina,
  Mimina neema mimina (Bwana Mungu),
  mimina neema mimina daima!
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download [76.26 KB]

Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *