Chorus:
Nasadiki kwa Mungu Baba x2 Nasadiki kwa Roho mtakatifu, ninasadiki.
Verses:
- Nasadiki kwa Mungu Baba Muumba wa vyote, ninasadiki. Nasadiki kwa yesu kristu ni mwana wa pekee
- Kwa uwezo wa Roho Mungu katwaa mwili, Ninasadiki. Na hapo bikira maria akawa mama ye
- Akasulibiwa akateswa kwa ajili yetu, ninasadiki. Kwa amri ya ponsio pilato akafa akazikwa
- Siku ya tatu akafufuka kapaa mbuguni, ninasadiki. Ka keti kuu me kwa Mungu Baba mwenyezi
- Atarudi siku ya mwisho kutuhukumu, ninasadiki. Nasadiki kwa roho mfariji mtakatifu
- Kani sapia takatifu na katoliki, ninasadiki. Ushirika wa watakatifu wambinguni
- Nama ondoleo ya dhambi kwa ubatizo, ninasadiki. Ufufuko wa miili uzima wa milele