Yesu ni Tumaini Langu
Ataniongoza maisha ni mwangu,
Yeye nitegemeo letu latukukomboa.
- Yesu ni tumaini langu, taraji oletu
Yesu ni tumaini langu maisha nimwangu – Yesu.
- Nitapanua mawazo yangu, ilini elewe
Yale mafundisho alitufundi sha nitopa.
- Ewe roho Mtakatifu utuwezeshe tumufuate
Bwana Yesu ndiye kiongozi – Ewe.
0 Comments