ZAENI MATUNDA MEMA, by Martin Munywoki

  1. Zaeni matunda mema, zaeni matunda yale, Zaeni ye nye Baraka, zaeni ya heri
  2. Safisha mwenendo wako, safisha matendo yako, Safisha na Bwana Yesu safisha yote
  3. Fanye ni kazi kidugu fanye ni kazi kwa bidii, Fanye ni na Bwana Yesu, fanye ni yote
  4. Tolea matunda yako, pamoja na moyo wako, Naye Bwana Mungu wako, atakubariki
  5. Baraka za Mungu Baba, Baraka za Mungu mwana, Naza Roho Mtakatifu, ziwenanyi nyote
Comments

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *