Lyrics
Chorus
K; Simama
W; Simama imara, jilinde,neon lake Bwana imara,
Kasha kila siku, jombe, utasimama x2
1
Milima yote na mabonde itayeyuka
Neno lake Bwana imara, litasimama.
2
Mapendo ya munu tumejaa, Roho kweli
Imara yetu ndaniyake, awe muhuri.
3
Siku za huduma ni chache, tuwe mashujaa,
Roho wa Yesu akaa nasi mpaka hatima.
4
Katika yote tutashinda kwa nguvu yake,
Nani aweza kututenga na pendo lake?
5
Heri ashikaye maneno ya mungu mwana,
Naam naja upesi, amiina. Njoo, Yesu Bwana!
6
Afikapo Bwana harusi, tayarisha taa,
Nenda kumlaki kwa furaha, naye ingia.
Spotted a wrong word or a missing verse? Make corrections